Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
ingependeza kama ningeona sample ya hivyo "vinavyosemekana" vya kiume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijali ngoja siku nikivipendezesha kidogo na tips na nail polish nitavituma
ingependeza kama ningeona sample ya hivyo "vinavyosemekana" vya kiume.
BAK BAK BAK nimekuita Mara tatu kwa upole🤣🤣🤣🤣🤣
Ushamba mzigo[emoji23]
Sijui hata jina lake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wewe unavaa hizo zilizochanwa magotini dada
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Si ndiyo maana nimejitolea kukufundisha bana; nakuaje wa Mbeya mwenzangu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mbona jeans imechanwa kistaarabu mno mweee kuna michano mingine noumaNa mimi nifundishe kuweka hair bleaching [emoji3] then this shit goes with mazingiraling.... Hapo ilikuwa Lake Manyara ni ngumu kwenda nimevaa mgauni.
BAK BAK BAK nimekuita Mara tatu kwa upole🤣🤣🤣🤣🤣
Wallah usitake nikukomalie kudai picha.
Weka tu hapa mwenyewe 😊
Haha kwani hutujui wana JF dada? Tuzoee tuMbona jeans imechanwa kistaarabu mno mweee kuna michango mingine nouma
Ndiyo, chini nasindikiza na buti la jeje
Sijaona jamani 😔😔😔Zangu niliweka pale juu.
Naomba nikuone full pic dada angu mzuri[emoji7][emoji7] nitumie hata PM pls
Umemaanisha Michano!??Mbona jeans imechanwa kistaarabu mno mweee kuna michango mingine nouma
SafiSijaona jamani [emoji17][emoji17][emoji17]
Huwa nakuta mshafuta tayari....[emoji3061][emoji3061]View attachment 1538370
Tukuone ndani ya hiyo ripped jeans basi.Namalizia kuwafundisha hawa kuvaa ripped jeans
Haha akuje hapa me anifurahishe machoUmemaanisha Michano!??
Hapo kwenye michano nakukubali
Beautiful 😍😍😍Sijaona jamani 😔😔😔
Huwa nakuta mshafuta tayari....🥴🥴View attachment 1538370
Nami naunga mkono hoja,nipo hapa nasubiri...Haha akuje hapo me anifurahishe macho
Tusiopenda kumbe tupo wengi tu 😍Sijaona jamani 😔😔😔
Huwa nakuta mshafuta tayari....🥴🥴View attachment 1538370
Ndio nimunawekaga mafoto mingi hivi ( in congolese vocal) [emoji23][emoji23]Sijaona jamani [emoji17][emoji17][emoji17]
Huwa nakuta mshafuta tayari....[emoji3061][emoji3061]View attachment 1538370
Ila sasa ya size ile ninayo machacheWewe tutaongea lugha moja sasa [emoji23][emoji23]