Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ai givapu. Kibiblia ukiweka ahadi ni lazima utimize. Usipotimiza ahadi hiyo itakuandama tu. Sasa sijui huku kubembelezana kunatoka wapi. Aweke picha mtumishi [emoji51][emoji51][emoji51]
Kwa hiyo unataka mama yangu atoke Jf? Utampata nani wa kumpostia maparachichi?
Mtumishi atimize ahadi. Usikwepeshe topiki [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Kaka usimfokee ukimfokea ndiyo utaharibu! Tumuombe kwa heshima na taadhima busara na hekima hachelewi kusema tuendelee kumtazamia bwana huku tukichochea karama zetu za uvumilivu!
Hahaahah nkamu wewe wa kunifanyia hivyo mimi? Usinitetemesheeeee
Mama usifanye hivyo bhana! Muache atuwekee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeshasikia hakuna muweka picha hapo
 
5141A1DC-E675-4B2F-B343-4D7F06B52126.jpeg
4C8E5E81-1BE4-49C3-A36F-79BB124375C9.jpeg
 
Back
Top Bottom