Hahahaha, ni chachandu IPI sasa nisiwe nimeelewa vby
Hahahaha, nisamehe Mkuu ,alimaanisha nn kwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna vichwa vibovu aisee
Hahahaha, sawaHahhahaa ni kama kisamvu kina tafsiri nyingi...nzuri mbaya na zenye ukakasi
Hasa sisi tunaokaa na wazaramo huku ununio, wana codes nyingi sanaHahhahaa ni kama kisamvu kina tafsiri nyingi...nzuri mbaya na zenye ukakasi
Hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata mimi sijui alichomaanisha ila tu umenichekesha ulivyomaanisha vingine, inaonekana siku hizi kila kitu kina maana nzuri na mbaya maana sikutegemea kama hadi chachandu nayo inaweza kuwa na maana nyingine zaidi ya hii tunayoijua.
Nimekumbuka kisamvu cha kopo kamwe sikujua ni matusi mabayaHasa sisi tunaokaa na wazaramo huku ununio, wana codes nyingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, asee hy sasa ni balaa samvu la kopo ,hahahahaNimekumbuka kisamvu cha kopo kamwe sikujua ni matusi mabaya
Mango,tomato,coconut chutney??ipi anko unatakaHivi tuna wapishi wazuri wa chatne humu?
Kiatu👌👌
Jirani unanichanganya na avatar mpya, najuaga chakorii ni ntu mwenye mguu wa bia, kiuno cha dondora, tako kama lote[emoji15][emoji15]hela tena[emoji38][emoji38][emoji38]
Mimi ni mzima kabisa aise namshukuru Mungu
Jirani endelea kujichanganya tu hakuna namna🤣🤣Jirani unanichanganya na avatar mpya, najuaga chakorii ni ntu mwenye mguu wa bia, kiuno cha dondora, tako kama lote
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ni wewe ah unajikataaje mamilooJirani endelea kujichanganya tu hakuna namna[emoji1787][emoji1787]
Sasa jirani hizi sifa si zangu mbona!!utakuwa umenichanganya jirani yangu
😅😅😅ni katika harakati za kuendelea kujichanganya jirani yangu.🤪🤪🤪nakuzoom tu🤣🤣[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ni wewe ah unajikataaje mamiloo
Sent using Jamii Forums mobile app