Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Heaven Sent weka picha usituchezee akili. Jael keshapatikana. Weka picha pulizi. Timiza ahadi [emoji1545][emoji1545]

Kaka usimfokee ukimfokea ndiyo utaharibu! Tumuombe kwa heshima na taadhima busara na hekima hachelewi kusema tuendelee kumtazamia bwana huku tukichochea karama zetu za uvumilivu!
 
IMG_1290.jpg
 
Kaka usimfokee ukimfokea ndiyo utaharibu! Tumuombe kwa heshima na taadhima busara na hekima hachelewi kusema tuendelee kumtazamia bwana huku tukichochea karama zetu za uvumilivu!
Ai givapu. Kibiblia ukiweka ahadi ni lazima utimize. Usipotimiza ahadi hiyo itakuandama tu. Sasa sijui huku kubembelezana kunatoka wapi. Aweke picha mtumishi [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Back
Top Bottom