T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,090
- 30,489
Jael mambo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Jael mambo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Mabaya.Jael mambo
Kwa nini mambo mabaya?Mabaya.
Hakuna muweka picha hapo, anawatetemesha tu.
Ai givapu. Kibiblia ukiweka ahadi ni lazima utimize. Usipotimiza ahadi hiyo itakuandama tu. Sasa sijui huku kubembelezana kunatoka wapi. Aweke picha mtumishi [emoji51][emoji51][emoji51]
Teh!!mzima mimi sana tu mkuuNilijua ni lazima utaita Chakorii [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mzima lkni
😳😳hela tena😆😆😆Teh!!mzima mimi sana tu mkuu
Hofu na mashaka kwako uliye mbali na upeo wa hela zangu
Vizuri sana kama wewe ni mzima kabisa[emoji15][emoji15]hela tena[emoji38][emoji38][emoji38]
Mimi ni mzima kabisa aise namshukuru Mungu
Shukrani T 1990 ELYVizuri sana kama wewe ni mzima kabisa
Amina mpendwa
Karibu
Samaki[emoji24]Kwa nini mambo mabaya?
Samaki wapo wengi sana ila walaji ndo wachacheSamaki[emoji24]
Bei gani huu msosi?
Kwahiyo unajifanya SLP yangu huna[emoji134][emoji134][emoji134]Samaki wapo wengi sana ila walaji ndo wachache
Unalalamika wakati hujanipa utaratibu wa kukutumia samaki Jael[emoji1]
Nipe S.L.P yako uone kama kesho sitakutumia hitaji lako[emoji1]
Sina ndiyo
Elfu tatu tuBei gani huu msosi?
Kinashibisha au ndio mpaka ushushie na maji?Elfu tatu tu
Kwa upande wangu kinashibisha hata nisiposhushia na maji mkuuKinashibisha au ndio mpaka ushushie na maji?
Tuma pale pale pa siku zote.Sina ndiyo
Mh ulinipa lini S.L.P yako?