Ngojea
Ngojea
Obviously na last love yako inabidi awe Msukuma...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Obviously na last love yako inabidi awe Msukuma...
Huko nilikimbia Korona. Nipo home bro. Tena ajabu nipo hapa Chuga makaburi ya Kaloleni hapo kuna ndugu yangu amelala hapo nimekuja kumuona. Nipo hapa Silver Palm kibishi bishi tu [emoji16]Huku fresh... vp huko abroad
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Nawatakia weekend njemaaaView attachment 1529867
Leo unakunywa wapi NijeNawatakia weekend njemaaaView attachment 1529867
Enzi hizo za lini we mwenyewe mtoto mdogo tu? Unajua enzi gani wewe? Miaka 75 hapa unanizungumzia mambo ya enzi? Kama unazungumzia hiki kizazi chenu hiki kinachovaa suruali za kubana zilizotatuka magotini na kuongea kwa kubana pua sawa lakini age yetu hii ni wale orijino kabisa pyua ngosha mwenye kila sifa [emoji123][emoji123][emoji123][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wasukuma walikua wa enzi hizo, sio nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chajionesha tyuuuh mbna.Umejuaje! Kitamu hiko
Kibabeeeeeeeh sanaaah, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Nawatakia weekend njemaaaView attachment 1529867
Mungu Ampe maisha marefu Mshana Jr. Tunajionea neema za Allah hapa hapa mchana kweupeee [emoji91][emoji91][emoji91]Nawatakia weekend njemaaaView attachment 1529867
Leo unakunywa wapi Nije
Kibabeeeeeeeh sanaaah, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mungu Ampe maisha marefu Mshana Jr. Tunajionea neema za Allah hapa hapa mchana kweupeee [emoji91][emoji91][emoji91]
Wacha bwana!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Enzi hizo za lini we mwenyewe mtoto mdogo tu? Unajua enzi gani wewe? Miaka 75 hapa unanizungumzia mambo ya enzi? Kama unazungumzia hiki kizazi chenu hiki kinachovaa suruali za kubana zilizotatuka magotini na kuongea kwa kubana pua sawa lakini age yetu hii ni wale orijino kabisa pyua ngosha mwenye kila sifa [emoji123][emoji123][emoji123]
Sanaaaah bhanaaaaah lol.Sio sanaaa bwanaa
Hahahaa basi sikuji huko😁Kule kwenye uzi wetu nilikuwa nakuogopa hata kukutania. Kumbe uko free namna hii. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Siku ukirudi huko utakiona cha moto !!!