Boss katika vitu nimeshindwa ni kuandika "t" na kuweka hicho kimkato katikati..yaani najikuta naweka juu kabisa Tena naweza weka juu Zaidi ya hapo.
Nimejikuta nazoea kuweka huo mkato baada ya kumaliza kuandika neno.
Halafu haya mazoea yamejenga tabia
Hahaha I think you have a point here dad, basi ndiyo maana hata mimi siku hizi nimeacha yale masuala ya kuanzisha mada za mbalansisho kati ya me na ke na kubishana na wanaume kuhusu hayo masuala.
Nafikiri ule haukuwa uhalisia wangu bali nilikuwa nafake ili nami nionekane niko vizuri kwenye mambo ya feminism, nimejitahidi sana kufake na nilijua nitafika mbali ila matokeo yake sijamaliza hata mwaka humu JF nimejikuta nimerudi kwenye uhalisia wangu na watu wengi sasa ndiyo wameanza kunijua the real me.