Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lakienyeji!! Ni lizuri Mimi nikionaga mtu ana discuss vitu vigumu najua kabisa ni kina tulia ackson. Ila huyu shes kashindikana! Ile beautiful with brain maana yake halisi ni huyu mtoto
Wewe na bebi wako mmezidi lol 😆
Umenikumbusha kuna mtu anasema mie lazima nina miaka 40+ lol sijui naonekanaje yaan 🙌🏼
 
Wewe na bebi wako mmezidi lol 😆
Umenikumbusha kuna mtu anasema mie lazima nina miaka 40+ lol sijui naonekanaje yaan 🙌🏼
Mwambie aje selfika akutane na upande wako wa pili.

Ni vile upo kwenye mada ngumu afu Kuna namna unavyoflow mtu anaweza hisi mdada flan sababu watoto wa elfu mbili ni ngumu mnon kuwakuta kwenye mijadala mitambuka kama unayoifanya wewe, wengi utawakita huko kwa kina worldmissgrand
 
Kwenye uzi wangu wa birthday mtu aliuliza una miaka mi ngap nikamuambia naitafuta 30 bado ngazi chache hakuamini

Uzi wa forever young watu karibia wa 3 hawakuamini mwingine ndio huyo anasema nipo kwenye 40+ mwingine 35+

Sasa najiuliza nifiche natafuta mume ?ili iweje yaani🙌🏼

But unaamua kuwaacha maana sio muhimu hata hivyo
 
Back
Top Bottom