Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakoelekea nitaanza kuwaambia ukweli hao unaowadanganya kuwa picha zako umeweka kule juu kwenye hizo comments unazozisema, hebu acha kupotosha wenzio.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiseee
Wewe unifanyie hivyo?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiseee
Wewe unifanyie hivyo?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa kwanini wewe unataka wenzio waoneshe sura zao wakati wewe hata kidole chako hautaki kuweka, we ngoja nitaanza kuwafuata pm mmoja mmoja nawaambia unawadanganya. [emoji23][emoji23]
 
Ngoja nije huko PM napenda wanawake makauzu na wababe ka wewe.

Hahaha sijui kama umenielewa mkuu! Mimi kiuhalisia siyo kauzu wala mbabe ila humu ndiyo huwa nafake ukauzu na ubabe ili tu nisisumbuliwe pm!

Sababu najua wanaume wengi wa kiafrika mnapenda wanawake wapole na wanyenyekevu ili muwatawale vizuri! Wababe huwa mnapiga na kusepa tu!
 
Ngumu sana kuficha identity, sijui unawezaje lakini muda mwingi mwandiko wa mtu unaweza kutoa taswira halisi ya jinsi alivyo. Imagine mtu yupo jf tangu 2010, anaweza kufake lakini kuna mahali tu atashindwa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa kwanini wewe unataka wenzio waoneshe sura zao wakati wewe hata kidole chako hautaki kuweka, we ngoja nitaanza kuwafuata pm mmoja mmoja nawaambia unawadanganya. [emoji23][emoji23]
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..

Ila safari hii sijawadanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…