Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,233
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aise basi wengine tuna mikosi labda
Si kwa kasi ile[emoji2092]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aise basi wengine tuna mikosi labda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwee tatizo ukiwa mpole unakuwa mpole mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti unakuwa mkavu [emoji23]Hahaha dear kweli hujazoea mie nakuwaga mkavu . Ikiwa Mara ya Kwanza unaona ajabu ila ukizoea hata huoni shida [emoji23]
Jina limekaa poa sana hili .
Ilikuwa wiki wiki jamani [emoji2092]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi nilibadili Karma sababu sikupenda kuulizwaulizwa kuwa mimi ni me au ke, maana wengi walifikiri mimi ni me.
Sasa natumia Zoë naona usumbufu pm umezidi wakati enzi zile usumbufu ulipungua kwahiyo bora nirudie lile, atakayechanganyikiwa na achanganyikiwe tu ila wengine hatupendi usumbufu wa mara kwa mara pm.
Mno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila huyo ndugu yako naye ana matatizo ya problem
Huwa inakera hasa unapochangia watu wakihoji jinsia yako , sure I totally agree with you kuna id ukiwa nayo pm utasumbuliwa mno wakati natumia Aurora ilikuwa shida kumbe kuna pornographic actress anaitwa Aurora Jolie .Na mimi nilibadili Karma sababu sikupenda kuulizwaulizwa kuwa mimi ni me au ke, maana wengi walifikiri mimi ni me.
Sasa natumia Zoë naona usumbufu pm umezidi wakati enzi zile usumbufu ulipungua kwahiyo bora nirudie lile, atakayechanganyikiwa na achanganyikiwe tu ila wengine hatupendi usumbufu wa mara kwa mara pm.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuu
Tobaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa inakera hasa unapochangia watu wakihoji jinsia yako , sure I totally agree with you kuna id ukiwa nayo pm utasumbuliwa mno wakati natumia Aurora ilikuwa shida kumbe kuna pornographic actress anaitwa Aurora Jolie .
HakikaUpole ndiyo hulka yangu! Siwezi kufake upole ila naweza kufake kuwa cha mdomo! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utuwekee na kaselfie sasaNa la kwangu si limekaa poa au sio[emoji41][emoji41][emoji23]?
Hahaha sure tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti unakuwa mkavu [emoji23]
Nakuambia itabidi tuwe makini tukichagua majina haya , the meaning behind these names .Tobaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ikabidi nianze tu kumshukuru Melo pale na kumtakia kazi njema[emoji16].Hahaha sure tena
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuambia itabidi tuwe makini tukichagua majina haya , the meaning behind these names .
Jamani siku nyingine uwe free wana customer care nzuri kweli .Mimi ikabidi nianze tu kumshukuru Melo pale na kumtakia kazi njema[emoji16].
Nilijihisi unyonge
Hahaha bora hiloAiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora hata langu la wine
Hamna jaribu tena , ila Zoe nzuri lakini
Yaani alinihudumia vizuri ila Mimi mwenyewe nilijihisi vibaya kumsumbua..Jamani siku nyingine uwe free wana customer care nzuri kweli .
Yaani alinihudumia vizuri ila Mimi mwenyewe nilijihisi vibaya kumsumbua..Jamani siku nyingine uwe free wana customer care nzuri kweli .