Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Mawazo nayo yanabadilika mkuu. Unaweza kuwa unatumia jina hili then mawazo yakakujia ukajikuta unataka kutumia jina jingine wangeruhusu tu option ya mtu kujibadilishia jina mwenyewe kama mitandao mingine tu.