Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeshazoea hilo jina itakuwa ngumu kutumia Id nyingine unless uwe umeamua .
Yah nadhani nimelizoea Sana.
Yaani muda huohuo tu nimebadili nikawa najiona wa ajabu.
Nikasubifi angalau wiki ipite ilinibadili Tena,sikumtafuta Tena melo.
Nikampm mwingine ila akaja nibadilishia Melo, yaani nilijisikia aibu na kuona nimemsumbua.
 
Hahaha you're right huwa nakaa muda siwatafuti then ndo naomba request , adorabella nilichoka kulitumia nikaja Aurora nikaona mizinguo mingi nikaweka Rory kuna id ya mtu inafanana nayo ikabidi nibadilishe kwenda weyyln hapo kwa wey ndo nikasahau password .

Aise basi wengine tuna mikosi labda
 
Yah nadhani nimelizoea Sana.
Yaani muda huohuo tu nimebadili nikawa najiona wa ajabu.
Nikasubifi angalau wiki ipite ilinibadili Tena,sikumtafuta Tena melo.
Nikampm mwingine ila akaja nibadilishia Melo, yaani nilijisikia aibu na kuona nimemsumbua.
Hahaha dear kweli hujazoea mie nakuwaga mkavu . Ikiwa Mara ya Kwanza unaona ajabu ila ukizoea hata huoni shida 😂
Jina limekaa poa sana hili .
 
hahaha karma mtu anaweza hisi ni me kiurahisi kuna id zinakera mtu akiona tu anajua wewe ni ke ,

Na mimi nilibadili Karma sababu sikupenda kuulizwaulizwa kuwa mimi ni me au ke, maana wengi walifikiri mimi ni me.

Sasa natumia Zoë naona usumbufu pm umezidi wakati enzi zile usumbufu ulipungua kwahiyo bora nirudie lile, atakayechanganyikiwa na achanganyikiwe tu ila wengine hatupendi usumbufu wa mara kwa mara pm.
 
Back
Top Bottom