Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,426
Hahahaha, aseeHahaha weylyn au
Akii nmebadilisha majina humu kama pipi .
iko wapi rafiki...mimi sioni
Nimeweka juu huko Rafiki ,mchana hujaiona ,nimenoga hatariThe
iko wapi rafiki...mimi sioni
Nzuri tu dear, habari ya huko ? Sikuwepo Kama miezi miwili hivi . Hahaha naendaga kwa Max ananibadilishia .Aise kumbe ndiyo wewe? Habari za kupotea mkuu?
Nilikuwa najiuliza siku hizi umepotelea wapi kumbe upo nasi humu humu? Halafu mkuu hivi unaendaga kwa mod gani huyo anayekubali kukubadilishia usernames muda wowote unaotaka mbona mimi wamenizingua?
😅😅😅hata sijui kabila yangu likwapi😎😎🤣🤣wewe ni mchaga
Basi na mimi ngoja nijiite Imliii
Yaani nitajitahidi safari hii nisibadilishe .
Wewe sasa😅😅😅naona umeamua kuniuza😅😅safi sana
Hahahaha, MTU anaweza kudhani we mpya,kumbe mkongwe ,ndio maana humu huwa nashangaa sanaYaani nitajitahidi safari hii nisibadilishe .
Kwann nikuuze,tatizo tukiweka hamzingatii mko busy na storyWewe sasanaona umeamua kuniuza
safi sana
Haya rafiki umeshinda...ila kumbuka picha inatazamwa fast kuliko mwandiko😅😅
Hahaha kabisa huwa inakuwa hivyo .Hahahaha, MTU anaweza kudhani we mpya,kumbe mkongwe ,ndio maana humu huwa nashangaa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, dah so inawezekana nachat na I'd inayonijua bila mm kuijua? Ndio maana wengine tunawakazia watuHahaha kabisa huwa inakuwa hivyo .
Nzuri tu dear, habari ya huko ? Sikuwepo Kama miezi miwili hivi . Hahaha naendaga kwa Max ananibadilishia .
Kama Safari hii nilisahau password ya akaunt yangu ikabidi nifungue id nyingine niwasiliane na mods mwisho wa siku wakaunganisha kuwa Id moja na jina likabadilishwa.
Nashangaa hujaionaHaya rafiki umeshinda...ila kumbuka picha inatazamwa fast kuliko mwandiko![]()
Fungua nyingine halafu uwatafute uwaeleze then watakuomba email uliyofungulia . Max ushamwomba akakataa ?Oohh kwahiyo na mie nikitumia gia hiyo ya kujifanya nimesahau password wanaweza wakanibadilishia eenh
Fungua nyingine halafu uwatafute uwaeleze then watakuomba email uliyofungulia . Max ushamwomba akakataa ?
Kwann huwa unabadilibadiliMimi bwana kuna kipindi nilibadilibadili hapa katikati sasa mara ya mwisho kuwafuata wakanigomea ikabidi niwabembeleze nikawaahidi kuwa sitabadili tena milele hii ndiyo itakuwa mara ya mwisho kwahiyo nikajifunga mwenyewe. Wakasema nilichokiahidi kitawekwa kwenye kumbukumbu za JF nikakubali.
Kha kumbe hapo ndo shida sasa Ila ungejaribu tena uone kama watakubali .Mimi bwana kuna kipindi nilibadilibadili hapa katikati sasa mara ya mwisho kuwafuata wakanigomea ikabidi niwabembeleze nikawaahidi kuwa sitabadili tena milele hii ndiyo itakuwa mara ya mwisho kwahiyo nikajifunga mwenyewe. Wakasema nilichokiahidi kitawekwa kwenye kumbukumbu za JF nikakubali.