Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
NiambieChakorii
NiambieChakorii
NakupendaNiambie
Saint Anne[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nashinda kotekote.
Nikitaka kucheka huwa nakuja Huku na siasani.
Buana wee zile nyuzi za Umoni ilikuwa patashika nguo kuchanika[emoji1787][emoji1787]
Kama movie za kikorea...huelewi mwwendelezo utakuwaje[emoji23][emoji23]
Walitifuana watu.
Wewe ulikuja wakati tayari kuna nyuzi zimefutwa.
😳😳uko sawa mkuuNakupenda
Mimi nawaonaga Kama comedian hivi maana umishamzidi hoja anakuoachina uanaharakati,Mara usingle mother,Mara anakupachika miaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani anatapatapa Kama maharage yanayofurumia motoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko sawa ndiyo[emoji15][emoji15]uko sawa mkuu
[emoji847][emoji120][emoji120][emoji120]Sawa.
Ni Chakor wa Udaan..ila nimeiandika kichaga😅😅😅Chakorii kama Chakorii [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hivi hii Chakorii yako ni ile ya Chakor wa kwenye Udaan au hii ina maana nyingine
Uzuri mawazo ya mtu hayawezi badili uhalisia wako.
Jambo la kheriNiko sawa ndiyo
SawaJambo la kheri
Sure ilikuwa bomba sana , uzi ulikuwa addictive huu .
Yaani dunia isiwe na maana kwa ajili ya wapiga ramli wachache ??
Haiwezi tokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi huwa nawaza Sasa huyu kanipigia ramli na bado kukasirika amekasirika yeye, na Mimi nikianza kumpigia ramli si atalia kabisa.
Naishia kumhurumia.
Naomba uniiite kwenye huo uzi dear nikausomeYaani acha tu. Ulianza kupoa baada ya wale wachangiaji maarufu kuanza kuhepa mmoja baada ya mwingine wapo walioaga na wapo waliojisepa kimya kimya tu.
Mwanzoni vitu huwa vinaanza vizuri mno . Ila wakaja watu kulalamika huu Uzi ni show off kwamba Kila mtu anapost Cha kwake .Yaani acha tu. Ulianza kupoa baada ya wale wachangiaji maarufu kuanza kuhepa mmoja baada ya mwingine wapo walioaga na wapo waliojisepa kimya kimya tu.
Yaani Mimi huwa najuaga tu makombora yanakuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanarukaruka kama bisi mie siku hizi nimeamua kuwapotezea tu
Mimi Hadi nilikuwa naumwa kichwa kwa sababu ya usingizi maana muda wote nilikuwa nakodoa macho humu.
Basi juzi nikapanda kule juu nikawa nasoma jinsi ulivyotiririka dada wa watu[emoji1787][emoji1787]
Yaani nikiwaza huwa naishia kuacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila akili zako
Nilisoma zile ulizokuwa unafunguka hadi miaka Yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani hata mimi kuna siku huwa narudi kule juu naanza kusoma baadhi ya comments zilizonifurahisha aise basi nacheka mwenyewe huku nikihuzunika kwa kukimiss kile kipindi, wewe ulikuwa unasoma comments za mwezi gani kwanza.