Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,228
Ndio hapo sasaKwani humu mtu akikubandika jina kwani anakulisha?tumo humu kufurahi tu.
Wakitupachika Wala hatupungukiwi chochote na maisha yanasonga na sisi tutabaki kuwa sisi[emoji847][emoji847][emoji847][emoji4]
Yaani tatizo Watu ukiwashinda hoja wanaanza kukuvamia mwenyewe...jf huwa inanichekesha Sana[emoji1787]