Sawa... usiku mwemaJiandae kuweka picha
Nakudai picha nyingi tu
Sawa... usiku mwemaJiandae kuweka picha
Nakudai picha nyingi tu
Kwahiyo siku hizi kunatajwa tajwa wapi?Nmekosea nltaka sema wakipataja taja
Tuombe uzima ifike iyo thursday
pandisha juu kidogo nione dimpozi.
Wale wa kutupachika single mother nilishawazoea mbonaOhoooo yaani JF inatakiwa ujichunge sana unachoandika kuna wanasaikolojia humu wanajua kumsoma kila mtu kutokana na anachoandika. Ndiyo wale wazee wa kuleta personal attacks sijui oh una stress sijui wewe single mother mara kimeenda kimerudi kimepanda kimeshuka mtu anajikuta anakujua kumbe anaropoka tu!
Sijui ila nilisikia eti humu watu ndiyo huandika ule uhalisia wao yaani yale yaliyo mioyoni mwao kwa sababu ya hizi fake ids! Waii mimi niko tofauti sana aise siwezi kuonesha uhalisia wangu 100% humu yaani mie JF nafake kuanzia identity hadi personality mtu anaweza akadhani ananijua kumbe anajua kile ambacho mimi ndiyo nimetaka ajue!
Ofcourse kuna mengine tunaongea humu ni ya ukweli. Ila huwa tunaongea yale ambayo ni common na hata mtu akiyajua haina shida.
Tena huwa tunaongea yale ambayo hayatoi clues mtu kukujua personality yako kiundani zaidi! Anyways acha waendelee tu na saikolojia zao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eee ukiachana na mwandiko kipi kingine upo vzr?Utaharibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tubaki humohumo
Nimeachia mzigo leo natupia tu [emoji23][emoji23]Usinikodolee
Pako
Unataka upasikie kwa TBC ama clouds?
Nakuonaga sana MMU unatetea haki za single mother[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale wa kutupachika single mother nilishawazoea mbona
Tena kuna mwingine kanipachika mchana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapambane na hali zao.
Maisha ni mafupi sana kuwa siriaz kila muda
DahView attachment 1532571[emoji124]
Hembu tuendelee kujifunza mwandiko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiachana na mwandiko kipi kingine upo vzr?
Kwani humu mtu akikubandika jina kwani anakulisha?tumo humu kufurahi tu.Wale wa kutupachika single mother nilishawazoea mbona
Tena kuna mwingine kanipachika mchana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapambane na hali zao na saikolojia zao[emoji2092]
Maisha ni mafupi sana kuwa siriaz kila muda
Kaa hapo hapo nisubiripandisha juu kidogo nione dimpozi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nataka kujua ili nikija nijifunze Zaidi ya mwandiko kutoka kwako madam wangu [emoji4][emoji4]Hembu tuendelee kujifunza mwandiko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujafika tu!?!!
Ndiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakuonaga sana MMU unatetea haki za single mother[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupia tena mbona sijaonaNimeachia mzigo leo natupia tu [emoji23][emoji23]
Sina shida na kusubiri kabisa nimo humu usiku na mchana silalagi.Kaa hapo hapo nisubiri
Governers boardroom tips 🤪Kwahiyo siku hizi kunatajwa tajwa wapi?
[emoji849]aisee mzigo umepanda kabla sijaedit duuh imeonekana au?Kaa hapo hapo nisubiri