Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Punguzeni story basi,muweke hizo selfie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kalale tu, huu uzi ulishapoteza lengo lake siku nyingi tu.
Punguzeni story basi,muweke hizo selfie
Vipi
Utaweka full eeh!?!kesho nitaweka mkuu, tuombe uzima tu....
Hahaha mwanzoni ilikuwa picha kwenda mbele .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kalale tu, huu uzi ulishapoteza lengo lake siku nyingi tu.
Labda mwanahatakati wa masingle mother [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui kitu gani kingine kizuri ninacho[emoji1745]
Ndiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena siku hizi mwanaharakati mwenzangu Zoë amepumzika kidogo kwahiyo majukumu yote ameniachia mie[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tuVipi
[emoji23][emoji23][emoji23]hao psychologist tuishi nao tuu ivo ivoHahaha mkuu wapo humu! Watu ambao wakikosaga hoja kazi yao ni kuanza kuhusianisha unachoandika humu na tabia zako halisi!
Mimi nilishakaa hadi na wachungaji na wakanidescribe tofauti hivyo hadi kesho siwaamini! Sembuse hao wanasaikolojia!
Wapuuzi sana wale..kuna muda nilitaka niende nao sawa vile wanataka kusikia sema nikaona nitajipa midhambi tu ya bureNiliona Jana pia wamekupigia ramli
Halafu sasa bahati mbaya hawajui...kama ndo kubet Basi wanachana mikeka tu[emoji4]
So are you single mother?[emoji4][emoji4]
Bas amini ipo siku utakuwa single mother tena wa mapacha kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wala
Ni vile sipendi kuona wanaonewa Tena wanaowanyooshea vidole ni haohao watia mimba.
Acha tusome story najifunza mitaa ya watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kalale tu, huu uzi ulishapoteza lengo lake siku nyingi tu.
Haya sasa....Usijali I'm not married [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda mwanahatakati wa masingle mother [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] just joking ,me huwa Sina time na personal life ya mtuUnaona sasa! Yale yale tuliyotoka kusema! [emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]
Humu JF ukiwatetea vipofu automatically na wewe umeshawekwa kwenye kundi la vipofu! Watu hawataki kukuelewa wao wanachojua ni kwamba na wewe ni kipofu basi hauna cha kuwaambia!
YahLabda kwa vile ule haukuwa uhalisia wangu ndiyo maana ilikuwa ni kwa muda tu nikashindwa kuendelea. Mwanaharakati wa kweli hapumziki wala haachi mie nimeamua kufuata uhalisia wangu tu.
Ni nini tena?Haya sasa....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera Sana maana wengi wao huwa wanakosaga hata nguvu ya kujitetea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo,Mimi mtetezi wao.
Hawa Watu ni dada zetu,ni mama zetu.
BTW yapo mengi mazuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapuuzi sana wale..kuna muda nilitaka niende nao sawa vile wanataka kusikia sema nikaona nitajipa midhambi tu ya bure
Ndio hapo sasa
Wakitupachika Wala hatupungukiwi chochote na maisha yanasonga na sisi tutabaki kuwa sisi[emoji847][emoji847][emoji847][emoji4]
Yaani tatizo Watu ukiwashinda hoja wanaanza kukuvamia mwenyewe...jf huwa inanichekesha Sana[emoji1787]