Halafu hata mimi nahisi ninakuwa huru zaidi ninapomzoea mtu. Kama mtu sijamzoea nakuwa kama bubu yaani sina cha kuongea zaidi ya kujibu atakachoniuliza tu basi.
Dah! Haya mambo haya... Kuna siku ukimya huuu kutojishughulisha na stranger nikaambiwa dada inaonekana una dharau za viwango. Nilijiskia vibaya rohoni ila ndiyo nikaendelea kuuchuna tu.
Kwanza mada inahusu nini? Maana nilivyotokea ghafla..
Mie muongeaji naweza ongea na mtu yeyote yani bila kumzoea kihivyo nikijisikia... Rafiki zangu huwa wanasema Sina aibu ila najikuta tu nishaongea tuh ..