Bora umeongea na wewe. Natamani kama wale watu walionipa zile sifa wapite hapa waone sijui niwaite.
Saint Anne unakumbuka kwenye ule uzi wa sijui mtag mtu kisha weka sifa yake moja kuna mtu alisema
Zoë namuona mbishi hasa kwenye masuala ya kutetea wanawake anaweza akabishana na JF nzima. Akaja mtu akadakia kuwa eti mimi ni mbishi hadi in real life daah.