[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakunywa uji wa lishe km mgonjwa, usijali nikimiliki ndinga yangu hawa watu watasahau kabisaaah adha ya road.Hata maji ni kinywaji.
Kunywa maji mpka uchoke.
Wacha madam BMW. Siku ukimiliki lako usiache nipa lift
Au kibopa? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Sponsor...wacha weeee[emoji28][emoji28][emoji28]
Wacha weeeee😅😅😅😅😅jina la zamani hilo nililisikia🤣🤣Au kibopa? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Yaan soon tyuuuh namiliki ndinga, kuweni wapole maan mambo yanajipa mwake mwake. [emoji2][emoji2]Wapi ma[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]Yake cocastic wetu..
Woooozaaaaahhhh...nakuombea hilo liBMW lije mapema loh!!
Ngoja nitulize kalio chini😅😅😅Yaan soon tyuuuh namiliki ndinga, kuweni wapole maan mambo yanajipa mwake mwake. [emoji2][emoji2]
Haswaaaaaah mamNgoja nitulize kalio chini[emoji28][emoji28][emoji28]
Unakunywa safari
Wajue wapi wenyewe wanajua kulea na kutunza [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Vibabu vingine jomoneeeh unajiuliza hiki kweli kinahimili mkiki, maan unaona kina mvi had ndevu achia za kule state house. DuuuuuuhMlezi wa wana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi wanajijuaga kweli kuwa wamebatizwa upya[emoji1787][emoji1787]
Unacheka nini mam, subiri uwe una slay kwenye ndinga qareeeh. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] DaaahMpishi mzee baba mwenyeweView attachment 1530569
😅😅😅😅unauzoefu ni kinyama🤣🤣.🙌🙌🙌Wajue wapi wenyewe wanajua kulea na kutunza [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Vibabu vingine jomoneeeh unajiuliza hiki kweli kinahimili mkiki, maan unaona kina mvi had ndevu achia za kule state house. Duuuuuuh
Nabaki kushangaa hiiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] uzoefu wapi mam, hapana si nawaona kwa marafiki zangu, siku hiyo ndinga kaliih V8 ikatua pale magufuli hostel, jamaniiiih kimeshuka kibabuuh uwiiiiiiiih mungu wangu anihurumie khaaaah.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]unauzoefu ni kinyama[emoji1787][emoji1787].[emoji119][emoji119][emoji119]
Safari, balimi!!! Woiii at least Budweiser bia la kibabe.Safari, Balimi, Budweiser na Serengeti are the best aise
Na Windhoek na Heineken kidogo ila zingine zote chungu
I'm not a spy! Kwanza hujajibu kama upo TA.... ama niaje!!Daaah we ni spy nn!!?ngoja nikufuate kule chemba embu
Safari, balimi!!! Woiii at least Budweiser bia la kibabe.
Serengeti sinywi inakaba koo aisee
Bangi na Cigar sasa
Hapa acha nikae kimya