Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikifika 60 si nitakuwa na kitambi?

Masaa nane kulala ✔
Pork + chips - red meat ✔
Malimao nitapunguza
Wanga nawezana na wali tu nahisi. Siku hizi hadi mkate unanishinda, nikijitahidi ni slice 3 hapo nimejilazimisha mno.
Masoda and the like ✔
Mazoezi ✔ weekdays uwa nina kibarua cha kupanda ngazi na kushuka. Zoezi linatosha ilo.

Ngoja nikazane, natumaini sitokuangusha mpendwa.... Asante sana & ubarikiwe
 
Poleeh Jah akusaidie sana.
 
Wale wako fresh, pia kuna wale wa maliasili pale... Pia kuna Moshono kwa Mr. Pork na yule jirani yake. Kwa Sakina kuna Hunter na Njooy.

Kotazi kweli sijawahi kukuona wewe? Hebu niambie upoje...Yan uwa nazunguka ile mitaa kama pia
Unajua viwanja vya kitimoto!!!...hunters na enjoy pande zangu sana weekend .
 
Kupunguza uzito
, eeh afu nukuulize hivi nyie hamuoni kuchacha? Maan nlijaribu kunywa serengeti ile kuweka kwenye ulimi nilihis short na uchachu wa haja daaaah,
Najiulizaga wanaolewa wao hawaoni kuchacha.
Me naongeza sio kupunguza.
And then sinywi pombe bia, nakunywa tu dry alcohol like wine+ Smirnoff.
Bia ni mbaya jamani kwanza chungu lakkn watumiaji wanakwambia uchungu ndiyo utamu wenyewe. Bia nzuri kiasi ni Heineken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…