Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Matunguli ya nini tena? Usiku huu me nitaotaNaomba nibebe walau tunguli moja
Matunguli ya nini tena? Usiku huu me nitaotaNaomba nibebe walau tunguli moja
Nimesha download for future useWhen I was young. View attachment 1530199
Najua utakuja mwenyewe..Ngoja nirudi nilikokua ,akitupia mwingine nishtue
Ulisema unaondoka na kutuacha na uzi wetu, ila bado upoNimeaga? Unaona lakini vitu vinavyorushwa?




Mkuu fokasi na Cobalt. Haya mambo hayaishagi utayakuta tuNgoja nirudi nilikokua ,akitupia mwingine nishtue
Nimekuuliza hivi: Umeona lakini vitu vinavyorushwa?
Rafiki!!! Unanikosea..Lile ni agano la kale,
Tufanye sasa agano Jipya na uanze
Hahahaha, tukikamilisha udongo lzm apatikane wakuzitumiaMkuu fokasi na Cobalt. Haya mambo hayaishagi utayakuta tu
Kuacha kabisa sitoweza. Ila nilijitahidi kupunguza.Duh hvi malimao uliachana nayo!??
Hvi unazingatia ule ushauri wa kupiga misosi!??
Jitahidi uje hapa kwenye 58 to 60 then relax
Hebu weka nawe,utukomeshe
Isije kutokea siku ukaniotea kwenye zile lift 😅 naomba tu ufuteNimesha download for future use
Maisha ya usingle magumu ? sasa mwenza si nipo hapa ,tukae tuyajenge, yawe mepesi jamaniKuacha kabisa sitoweza. Ila nilijitahidi kupunguza.
Misosi ya wanga inanishinda siku hizi, nikila wali mchana mpaka jioni nakuwa nimeshiba shiba tu. Kama leo nilikula wali samaki mchana lakini mpaka saa hizi sioni dalili kama nitakula usiku huu... Chips hazichoshi sema kitumbo kitajaa nishindwe kuvaa baadhi ya vi blouse![]()
Maisha ya usingle magumu yanatia uvivu kupika pika, kula restaurant kila mlo ni kujitia umaskini , nasubiri Dec nirudi kwetu nikanenepe![]()
Haha