Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kashindikana kabisa huyu... siyo damu yetu kabisa hii..
Poa mdogo wangu.. ngoja nifanye namna apatikane Msukuma na hivi kwa sasa nipo Usukumani huku.. Jiandae tu.. Nasikia hawa mahari zao ni dhahabu.. wana jeuri hao[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nikae iwa kutulia nikisubiria dhahabu. Shimba ataambulia maparachichi ya buku yanamtosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nikae iwa kutulia nikisubiria dhahabu. Shimba ataambulia maparachichi ya buku yanamtosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Parachichi na Mchele wa Usukumani ndiyo size yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka hadi bas lol picha zingne, ni vituko tyuuuuh,
 
Back
Top Bottom