[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtundu sana wewe!!
Nitakutumia 😅Huyo mama mnene mwenye za kutisha unayo namba yake?
Nzuri[emoji7]Temporary photo [emoji41][emoji110]View attachment 1529375
Nataka nijaribu kuonja siku moja.Haha ndiyo yenyewe aisee.
Kuna ndugu zake wengine kina saint Celine, saint Raphael na Morand.
Wasalimie uendako.Nimeiona. Na yako nimeshaiona. Basi sina ishu tena katika uzi huu. Asanteni sana aisee...
Waoneshe mfano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Evenchuale.......[emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji7][emoji7]
Hata la kusema sina. Naenda kulala mie [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Rudia tena
Lini utaweka hata picha ya vidole wewe?
Wine is the most healthful and most hygienic of beverages.” go & try it 😉
[emoji4]Wine is the most healthful and most hygienic of beverages.” go & try it [emoji6]
Kuhusu bei inategemea, supermarkets na liquor store ni 12K. Some bars & lounge 20K
Haha ni tamu ndiyo, ila ukitaka tamu zaidi ni Altar wine. Bei ni elfu 10 tu[emoji4]
Ni tamu???
Isije kuwa chungu nikatupa elfu 12 yangu bure [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Janja janja nyingi wewe mom
@Makiseo nikutafsirie? Unadalaliwa huku.Ulugucholaga nkema wagutola, ntolage ung'wanike ng'wenuyu. Wawiza gete nkoyi. Guhondomola guke [emoji16][emoji16][emoji16]