Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,347
- 17,671
Nzuri siku mojamoja siyo kila siku.
Nzuri siku mojamoja siyo kila siku.
Kwahiyo huko unajifunza kitu gani?Nzuri siku mojamoja siyo kila siku.
Ni meditation tu and other stuffs.
Karibu.
AkhsanteKaribu.
Ni kama Imani zingine tu na siyo lazima uifuate.
Ooh sawaNi kama Imani zingine tu na siyo lazima uifuate.
Mungu gani unayemuabudu wewe.Siyo dini ni bali ni mfumo wa maisha na sifuati masharti yote nachukua mazuri tu.
Mungu Baba mwenyeziMungu gani unayemuabudu wewe.Siyo dini ni bali ni mfumo wa maisha na sifuati masharti yote nachukua mazuri tu.
Siyo lazima uvute bange au uwe na rasta.Do good to others and I will do the same for you ndiye mungu ninaye muamini.Mungu Baba mwenyezi
Muumba wa mbingu na nchi
Na Yesu Kristo mwanawe,
Pamoja na Roho mtakatifu
Mimi namwabudu Mungu huyu mwenye utatu.
Mambo ganu ni mazuri ambayo unadhani yanapaswa kuigwa katika huo mfumo?.
Na yapi ni mabaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh sawaSiyo lazima uvute bange au uwe na rasta.Do good to others and I will do the same for you ndiye mungu ninaye muamini.
Ni sehemu ya Imani na siyo lazima uvute.Alafu siyo kila aliyesokota nywele na Kuvuta bangi ni Rasta.Usiku mwema Ana ngoja nipumzike.Oh sawa
Rasta napenda sana ila sidhani km nywele yangu inaweza kubali kutengeneza hizo Rasta.
Sasa kwanini wengi wanavuta bangi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Bangi ni sehemu ya imani?Ni sehemu ya Imani na siyo lazima uvute.Alafu siyo kila aliyesokota nywele na Kuvuta bangi ni Rasta.Usiku mwema Ana ngoja nipumzike.
Siku save MkuuHuku save unitumie Mkuu ? Zawadi ya donge nono utapata
Angalia angalia basi kapicha huko kwa gallery unibariki![]()




Nini Rafiki?I second
Bariki asubuhi yangu kwa picha rafikiNini Rafiki?
Sawa... Usilog out mahali hapa..Bariki asubuhi yangu kwa picha rafiki
Sawa Dear... sooon.
Nakutag.