Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,758
Tena umemkomesha, na akome akome akome akome kujipendekeza![]()
Acha basi mkuu 🤨
Tena umemkomesha, na akome akome akome akome kujipendekeza![]()
Mbona akili inaniambia huyo sio wewe?
Njoo tuWapi unasali nije uniombee jumapili.
HahahaHapa bila Shaka ulienda kuombewa upate mume mwenye hofu ya Mungu![]()
Ujakosea ni mjukuu wangu mimi nipo pembeni.Mbona akili inaniambia huyo sio wewe?
Kwahiyo na wewe ndiyo umeanza kujipendekeza?Hahaaa ukomege kujipendekeza kwa wanawake wenzio hawana shukrani. Njoo ujipendekeze pm kwangu chumbani
Kujipendekeza kwanani Tena?Kwahiyo na wewe ndiyo umeanza kujipendekeza?
Taja jina la kanisa nije kula upako.
Uliye'mtagKujipendekeza kwanani Tena?
Bhana ndio ujue umbea fani za watu. Yaani nimejaribu umbea dk mbili tu nimechemka. Ngoja niende zangu kwenye Uzi wa kula tunda kimasihara nikablaize na wahuni, huku nawaachie nyie.Umbea umekuzidi mpaka unakosa umakini
Dah Uzi siuwezi huuUliye'mtag
Poa. Naenda zangu kula kimasihara sebuleni kwetu kuleUsifanye uchochezi basi
Karibu SanaTaja jina la kanisa nije kula upako.