Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,346
- 17,670
Hasa mbona umeitoa kabla sijascreenshot.Hahah pole.
Hasa mbona umeitoa kabla sijascreenshot.Hahah pole.
😆😆😆 unataka kusema nini?Kitu juu ya kitu![]()
Waii screenshot za nini tena?Hasa mbona umeitoa kabla sijascreenshot.
Haha nikiwa verified na lile litarudi maana ndiyo jina langu
Niungeunge vipande nipate kumjua kuanzia chini mpaka juu.Waii screenshot za nini tena?
Zamu yako aisee
Afu tukimaliza tunaenda kuomba verification
Aisha JumaLile la mwanzo lilikuwa lipi vile?😆
mambo ni faya depalunataka kusema nini?

,kuna watu wanapitishwa vituo na giza halijaingia badoSaa ngapi? Me nataka kulog out etiNikiweka nakutag
Uko makini. Naona hujasinziamambo ni faya depal,kuna watu wanapitishwa vituo na giza halijaingia bado
Umependeza sana Saint Anne.Ndiyo kanisa lenu hilo?
Saa ngapi? Me nataka kulog out eti
Wote hapa tunakusubiri wewe,Tunakusubiri wewe sasa
Weka vitu
Usijipe kazi zisizo na faida 😆Niungeunge vipande nipate kumjua kuanzia chini mpaka juu.
Wote hapa tunakusubiri wewe,
Usitufanyie hvyo Joanah!
Acha macho na pua.Naahidi kuitoa ukishaona,ngoja niedit hapa nifiche sura na macho na mdomo na pua