Kama bei haizidi buku saba nipo tayari kukununulia.View attachment 1526150
Anayenipenda aninunulie saa nyingine hii nimeichoka 😙



..Nakupa full kwani Nini bhanaKifuani kushuka chini
Naendelea kuomba Mungu waje maana zinakuwa mbili na hiyoWanakuja




Sasa nimeelewa. The moment nineona hizo kili za rangi na namna unavyosuka ndiyo maana nikaja na hilo swali.
Haionekani vizuri boss, hebu angalia nyingine kwa gallery basi 😉Nakula full kwani Nini bhana View attachment 1526200
Kama hutaki mi narudi zangu msituni Sasa kwa kibamia hichi unataka nitoe saa kubwa si utanipunja..😂Mkonyezo sijui mapigo ya moyo hizo sizitaki.
Akhsante mkuu.Sasa nimeelewa. The moment nineona hizo kili za rangi na namna unavyosuka ndiyo maana nikaja na hilo swali.
Hongera kwa ususi
Umejificha mno mkuu.Nakupa full kwani Nini bhana View attachment 1526200
Wanasuka ila nadhani ususi wa Mbeya una utofauti kidogo. Angalia hata nyungo au majamvi yanayosukwa maeneo tofauti tofauti.
Haha dah!Kama hutaki mi narudi zangu msituni Sasa kwa kibamia hichi unataka nitoe saa kubwa si utanipunja..😂
View attachment 1526204
Kausha wewe inatosha.
Zipo piaKama bei haizidi buku saba nipo tayari kukununulia.
Unataka kuchungulia Nini? Nimeififisha kusudi ili macho yako yapate shughuli kidogo.Haionekani vizuri boss, hebu angalia nyingine kwa gallery basi![]()
We kubali tu yaishe shida si kubadili saa ukitaka kubwa wapo wakubwa ila mi ninayo ndogo..😂😅Haha dah!
I'm speechless 🙌
Nataka kuona 2 pack sijui seven packUnataka kuchungulia Nini? Nimeififisha kusudi ili macho yako yapate shughuli kidogo.
Sijawahi kujua Kama Kuna tofautiWanasuka ila nadhani ususi wa Mbeya una utofauti kidogo. Angalia hata nyungo au majamvi yanayosukwa maeneo tofauti tofauti.

Saa ni saa tu cha muhimu majira.We kubali tu yaishe shida si kubadili saa ukitaka kubwa wapo wakubwa ila mi ninayo ndogo..😂😅