Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Usingizi umekata [emoji16]Uko makini. Naona hujasinzia
Usingizi umekata [emoji16]Uko makini. Naona hujasinzia
Haya,anza na hiyo uliyoficha puaMi nakusikilizia wewe kwanza unipe muongozo
Sifanyangi kasi bila faita lol.Usijipe kazi zisizo na faida 😆
Acha macho na pua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umependeza sana Saint Anne.Ndiyo kanisa lenu hilo?
Watu wengine michosho Sana DADEKI zake..😅Hahaaa huyu mwamba alivurugana na Saint Anne jana usiku nilikua nacheka tu bila kukomenti🤣🤣
Haya,anza na hiyo uliyoficha pua
Me mbona ulinichonja?Kweli umedhamiria niwe verified 😂
Nikiacha macho si ndio game over hapo kinachofuata kuambatanisha kitambulisho cha NIDA
Me mbona ulinichonja?
Macho
Pua
Meno
Kidevu
Shavu
Vyote umeona. Hivi si itapendeza uki'do the same?
Haya weka picha basiSifanyangi kasi bila faita lol.
Mie niliomba picha tu
So the rest me nijipendekeza sio 😅
Hahaaa ukomege kujipendekeza kwa wanawake wenzio hawana shukrani. Njoo ujipendekeze pm kwangu chumbaniSo the rest me nilijipendekeza sio [emoji28]
Hapa bila Shaka ulienda kuombewa upate mume mwenye hofu ya Mungu [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisali sehemu moja
I'm rotatingView attachment 1526139
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa ukomege kujipendekeza kwa wanawake wenzio hawana shukrani. Njoo ujipendekeze pm kwangu chumbani
Tena umemkomesha, na akome akome akome akome kujipendekeza [emoji125][emoji2484][emoji3166]Halafu unaweza kua mchonganishi hivi hivi ujue [emoji23]
Wapi unasali nije uniombee jumapili.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisali sehemu moja
I'm rotatingView attachment 1526139
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mjanja mjanja JoanahAnza wewe ile uliyoziba mdomo