Disney wao ni wasambazaji tu na si watengenezaji..warner bross wao ni watengenezaji na wasambazaji wa DC.
Baada ya kuanzisha tu marvel studio basi wameanza kupiga hela mno.
Dc inabidi wajiangalie wapi wanakosea.
imagine batman kila muda inafanyiwa reboot..toka mwams 70s huko.
nilijua ben afleck ndio atakua perfect match kwa batman nae wamemtoa. Henry cavil nae sijui kama atakuja dc au ndio imetoka naona wao hawana character development
Kama marvel ni utoto wacha tu niwe mtoto nafurahi mno muvi zao.
Btw wazungu hua hawajali sana pesa kwenye muvi. Huangalia critics zaidi..Luckily marvel kuna full postive critics na pesa kibao wanaingiza.
Mm mpaka leo naangalia sofia the first au teenage mutant ninja turtle
View attachment 1525423View attachment 1525424
Bas una kumbukumbu nzuri sana kama unamkumbuka mkono wa baunsa
Halafu maneno mengi selfika tukuone na ww[emoji1][emoji1]
Yangu hiyo weka yako nasubiri ya kwako.View attachment 1525434
Ni mimi huyo Zoe wengine wote niliowahi kuwaposti ni wajukuu zangu.Mkuu huyu jamaa unampenda ni nani
Ni mimi huyo Zoe wengine wote niliowahi kuwaposti ni wajukuu zangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi kabisa
Kwenye kumsifia dada yangu hujawahi niangusha yani unagonga mule mule
Hii niliselfika jana usiku nikasahau kupost. View attachment 1525578
Sent from my SM-A605F using JamiiForums mobile app
Jamaniiiiih c uoneshe sura kidogo, mmmmmh lolView attachment 1525418
Vile megend tunavyotuma picha! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Jomoneeeeeeh hebu nioneshe kidogo mmmmh [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Kuna mtu sitaki anione! Yule coca ya stick [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Jamaniiiiih mie hata sijaona, plz dea hebu nioneshe km ulisave huhuhuhHB [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Sasa umejiziba utadhani umebandikwa pamba.
Uko mzuri hivyo halafu unajuzuia ivyo..toa hizo pamba Basi [emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] jomoneeeeh dea hebu kwani nione bas na mie, mmmmh au sio HB weee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cocastic atakushushua ngoja aone comment yako! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Jomoneeeeeh sasa mbna sijaona hata mie lol, hebu nioneshe bhana [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Hii sura inaonwa na cocastic pekee [emoji3544]
Labda uPitie chini ya Mti [emoji2817][emoji2817]
Huo upaja dea lol, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Hii niliselfika jana usiku nikasahau kupost. View attachment 1525578
Sent from my SM-A605F using JamiiForums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]PM kwa mabinti kujichoresha tu. Nyie mna watu wenu humu tayari bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilikuwa najipikilisha. Naona nimechelewa. Sina bahati na wewe. Ai givapu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji1545]
Msitufokee bwana we!!!Yeah Marvel story zao nzuri sana na napenda namna wanavyounganishaunganisha matukio, yaani utajikuta tu unawapigia salute.
Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema eti movies za Marvel ni za kitoto damn yaani Avengers Endgame kwa sasa ndiyo the highest grossing movie worldwide, imesurpass hadi zile za James Cameron halafu mtu anakuambia Marvel wana utoto kwamba kule kwenye cinemas huwa wanajaa watoto tu.
Na ukiangalia top 10 ya the highest grossing movies in the world 4 au 5 ni za Marvel now where the hell is DC? Justice League eti box office inacheza kwenye dola milioni 600 na kitu wakati huku Avengers moja tu tunaongelea dola bilioni 1 hadi 2 na ushenzi!
By the way I thought Marvel kwa sasa wako chini ya Disney, while DC wako chini ya Warner Bros.
SikuitunzaJamaniiiiih mie hata sijaona, plz dea hebu nioneshe km ulisave huhuhuh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Jael karibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulikuwa unapika michembe nini?