Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,392
- 59,148
Oooh sawa rafiki hapo nimeelewaRafiki huyo gari lake nalijua si hilo ndo maana nikamuuliza ameazima wapi?
Oooh sawa rafiki hapo nimeelewaRafiki huyo gari lake nalijua si hilo ndo maana nikamuuliza ameazima wapi?
Mchaga ela inatoka kwa mahesabu atiiSasa unaanza ubahili hadharani.
Cocastic ataogopa kuja.
Nnashangaa kwa kweli ..Unashindwa kumuambia akupe mahela? Na kakuambia anayo mengi mengi na kakuita [emoji12]
😍Ts [emoji91] Friday, ndani ya ndingaaah.
cc Depal, yna2, amu, Saint Anne , Chakorii. View attachment 1523090
Hatimaye nimekuona leoTs [emoji91] Friday, ndani ya ndingaaah.
cc Depal, yna2, amu, Saint Anne , Chakorii. View attachment 1523090
Honey...inaelekea furahi dei yako ilikuwa 🔥🔥🔥sana 🥰🥰🥰🥰safi sana bae..😘😘😘Ts [emoji91] Friday, ndani ya ndingaaah.
cc Depal, yna2, amu, Saint Anne , Chakorii. View attachment 1523090
Uwiiiiiiiiih mpe tyuuuh yeye, afu atanigaia mieehWewe ndiye unatakiwa umgaie
Sawaah dea [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mengine ntasema bobo huko sawa eeh
Woooooow [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Ni pazuri Kama niniView attachment 1523256View attachment 1523258
Sent using Jamii Forums mobile app
Huhuhuhuh dea umeniona eeeeeeh, hapo
Eeeeeeh dea ikua so amazing, uwiiiiiiiiih [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177].Honey...inaelekea furahi dei yako ilikuwa [emoji91][emoji91][emoji91]sana [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]safi sana bae..[emoji8][emoji8][emoji8]
Daddieeeh hebu post zile car zilizo km tractor nimemic kuona