Naweza chukua hicho kitabu chenye makaratasi mekundu mkuu😎Uchakavu, weekendView attachment 1523771
Huu mzigo wa weekend tu?Uchakavu, weekendView attachment 1523771
Unachukua mazoezi ya kuua binadamu mwenzio! Maisha haya.....View attachment 1523820
Michezo ya manati
Unachukua mazoezi ya kuua binadamu mwenzio! Maisha haya.....
Ha ha ha hizo taswira unazolenga hapo ungeweka swala!Mi ni muwindaji Selous na kule manyara
Weka mzigo tuoneNaruhusiwa namimi kujiselfika humu
Haaaaa Haaaaa ulipotupia wewe namimi niangushe kitu chapWeka mzigo tuone
KaribuNaruhusiwa namimi kujiselfika humu
Ha ha ha hizo taswira unazolenga hapo ungeweka swala!
Hii inategemea na mtumiaji mwenzangu kwa leoHuu mzigo wa weekend tu?
Naona una nguvu za kiume za kutosha tuUchakavu, weekendView attachment 1523771
Ntafurah mnoooohGuuh analo mwenyewengoja akirudi nitamupiga picha honey..
Duuuh watu mna hela lol,Uchakavu, weekendView attachment 1523771
Hizo sare za jeshi la wapi? Duuuuuuh nimeogopaaahView attachment 1523820
Michezo ya manati
Ha ha ha kama komba au kiwavi kibunda kinaweza kuteketea!Hii inategemea na mtumiaji mwenzangu kwa leo
Ngoja nipige Kvant za kutosha kwanza 😬😬😬Karibu