Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,344
- 17,651
Hahahaha jana dada uliniangusha mkeka ukaungua live.Kaka wa kuchana mikeka
Hahahaha jana dada uliniangusha mkeka ukaungua live.Kaka wa kuchana mikeka
Lakini mmoja nilipataHahahaha jana dada uliniangusha mkeka ukaungua live.



Angalau mimi hata majivu yanabaki kuliko wanaounguza kwenye nywele za mfu wa kihindi zinaungua nyingi hata jivu alibaki.Nilibeti kinyume nipate kubwa.Lakini mmoja nilipata
Wewe ukabet kinyume
Naendelea kupiga hesabu ya hela ulizounguza![]()
HahahaAngalau mimi hata majivu yanabaki kuliko wanaounguza kwenye nywele za mfu wa kihindi zinaungua nyingi hata jivu alibaki.Nilibeti kinyume nipate kubwa.
Mkuu kumbee nawe ndo wale wale nimekuona jukwaa la siasa unaonesha kuumizwa na ujio was Lissu
🖕🏿Mkuu kumbee nawe ndo wale wale nimekuona jukwaa la siasa unaonesha kuumizwa na ujio was Lissu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi uliweka picha?Sawaaaaah
Weee dea mbna mie nliweka tazama kule juu.Hivi uliweka picha?
SikuonaWeee dea mbna mie nliweka tazama kule juu.
Sikuona
Weka basi nione
Toa ile emoj kwanza.Hahahaha saint anne wewe picha zako unatuambia wenzio tukaangalie juu
Na wewe weka basi hapa zako za kule juu tuone
Toa ile emoj kwanza.
Ukitoa na mimi nakutafutia picha zangu zote za huko juu.
Nikiiona kuna tatizo ganiDuuh sasa nikitoa si nitakuwa naonesha sura yangu full? Haunitakii mema wewe!
?Nikiiona kuna tatizo gani?