T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,928
- 30,075
Hahaha.....siyo zako tena?Halafu sasa cha kusikitisha sio zangu..loh!!pole
Za nani?
Hahaha.....siyo zako tena?Halafu sasa cha kusikitisha sio zangu..loh!!pole
Sio zangu ndio..nilizitoa sehemu tu hukoHahaha.....siyo zako tena?
Za nani?
Asante sana mkuu...maana sikawii kutukana lugha za watu ngumu ujueNdiyo karibu tunene mkuu
Lugha yetu nyepesi na rahisi sana kufundishikaAsante sana mkuu...maana sikawii kutukana lugha za watu ngumu ujue
Mmmh....mwenye nazo yupo?Sio zangu ndio..nilizitoa sehemu tu huko
Nikija kubahatika kuishi kanda ya huko nafikiri itakuwa rahisi zaidiLugha yetu nyepesi na rahisi sana kufundishika
Huwezi kutukana
Simjui hataMmmh....mwenye nazo yupo?
Hasa ukija kubahatika kuishi kanda yetu kama mke wa mtuNikija kubahatika kuishi kanda ya huko nafikiri itakuwa rahisi zaidi
PoleAiseeee!!
Haya bhana
Umenitafutia mchamba nini T 1990 ELYHasa ukija kubahatika kuishi kanda yetu kama mke wa mtu
Aiseee!!itapendeza kweli kweli
Babu niazime hizo simple jamaniiih, nmezipenda wallah
Ndiyo nimekutafutia mchumba ambaye kwa badae atakuja kuwa mmeo kipenziUmenitafutia mchamba nini T 1990 ELY
Nakuja chaaaap yaan babuuhnjoo kilingeni takupa zote
Jr![]()