ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 696
- 1,630
you are welcome...ukuwe huru kbisa[emoji18]Ntakuja nijifunze kupika lol
you are welcome...ukuwe huru kbisa[emoji18]Ntakuja nijifunze kupika lol
thank alot....you are welcome Chakorii
Tanteeeeeeehyou are welcome...ukuwe huru kbisa[emoji18]
Ugali uko wapi namhala?
Unaelekea wapi mkuu?Hii ngoma si yakitotoView attachment 1518016
Taiwan hiyo mkuu.Unaelekea wapi mkuu?
Usafiri huo siupendi yaani basi tu hakuna namna. Yaani hapo ngoma bado mbichi dah...Masaa 12 mawinguni uwiii....Safiri salama aisee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kama ni mimi hapo ningeutandika usingizi mpaka wangeshangaa. Cha muhimu tu msosi ukija wanishtue [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Taiwan hiyo mkuu.
Kinacho chosha ni hayo masaa.
Amen kiongozi
Mkuu nina flatbed seat. Hivyo ni usingizi mwanzo mwisho nikiamka nacheki movie.Kama ni mimi hapo ningeutandika usingizi mpaka wangeshangaa. Cha muhimu tu msosi ukija wanishtue [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Hili ndilo la mwisho. Kesho tena we na Makiseo wako mjiandae wallahi. Furaha tupu yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 1517816
Naomba kuona selfie YakoNaam Binti Saint Anne