Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,831
Mlikuwa hampo bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hawapo wameenda wapi wewe msukuma?
Mlikuwa hampo bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hawapo wameenda wapi wewe msukuma?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mzima kabisa.. Hofu kwako..Lengo langu ni tunda. Mkono achana nao [emoji16][emoji16][emoji16]
Hujambo lakini?
@JaelHili ndilo la mwisho. Kesho tena we na Makiseo wako mjiandae wallahi. Furaha tupu yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 1517816
Mshangae na wewe sasa huyu Shimba ya buyenzeHawapo wameenda wapi wewe msukuma?
Miye sijambo kabisa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mzima kabisa.. Hofu kwako..
Asantee mkuuAmina
Karibu
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Miye sijambo kabisa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kesho mnataka matunda gani? Au maembe, mapapai, mananasi, machungwa ndizi na malimau bado hayajawachosha?@Jael
Wahii huku...
Namzoom tuu hapa na matunda yake😅😅Namuona anajimwambafai tu na embe lake[emoji57]
[emoji28][emoji28][emoji28]Namzoom tuu hapa na matunda yake[emoji28][emoji28]
Wamerudi sasaMlikuwa hampo bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unaona sifa!!!! Sitaki chochote..Kesho mnataka matunda gani? Au maembe, mapapai, mananasi, machungwa ndizi na malimau bado hayajawachosha?
Weka picha yako basi hata kiwiko tu niachane na ishu ya matunda? Hata vidole tu [emoji16]Unaona sifa!!!! Sitaki chochote..
Siweki.. nasubiri yako hapa..Weka picha yako basi hata kiwiko tu niachane na ishu ya matunda? Hata vidole tu [emoji16]
Let's go utd..GGMU
Ntakuja nijifunze kupika lolduuh, kweli ubachela kaz[emoji18]...nimejaribu na leo kupika mboga.View attachment 1517705View attachment 1517706