Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Habarini ya muda wakuu[emoji870][emoji870]
20200723_180125.jpg
 
Bangi huwa unavutia wapi?

Makiseo msukuma kaweka picha yako huku.
Unanitafutia kesi wewe sasa. Nyie si mmegoma kunitag mkiweka picha zenu? Kufikia Jumamosi nitakuwa nimemaliza mzigo wangu wa matunda. Nikienda kutafuta mengine tag inawahusu. Mpaka mtabwaga manyanga tu mtanitag hata kama ni kwa shingo upande [emoji123][emoji123][emoji123][emoji16][emoji16]
 
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Unanitafutia kesi wewe sasa. Nyie si mmegoma kunitag mkiweka picha zenu? Kufikia Jumamosi nitakuwa nimemaliza mzigo wangu wa matunda. Nikienda kutafuta mengine tag inawahusu. Mpaka mtabwaga manyanga tu mtanitag hata kama ni kwa shingo upande [emoji123][emoji123][emoji123][emoji16][emoji16]
We weka tu hata bangi, hatukutag ng'ooo. Ukija utakuta manyoya tu.
 
Back
Top Bottom