Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

#February2017

GWAJIBOY: Mimi siwezi kugombea ubunge kwa sababu nitakuwa nimejishusha chini. Ubunge kwangu ni demotion. Mimi ni mkubwa kuliko mbunge, mimi ni mkubwa kuliko Waziri, Mimi ni mkubwa kuliko Rais. Sema Amen.

WAUMINI: Ameeeeen.!

#July2020
GWAJIBOY: Itoshe tu kusema sasa nagombea ubunge jimbo la Kawe. Kuna watu wanasema eti ubunge ni kujishusha chini. Ngoja niwapasue sasa.

WAUMINI: Pasuaaaaa.!

GWAJIBOY: Ubunge sio kujishusha chini ni kupanua huduma, sema kupanua.

WAUMINI: Kupanua.

GWAJIBOY: Kupitia kanisa nilikua nafikia watu wa Dar es Salaam peke yake, lakini kupitia ubunge nitafikia taifa zima sasa. Napanua huduma. Sema kupanua.

WAUMINI: Kupanua.!

Jr
 
Wajumbe wa Kawe si watu wazuri.

Wamemkatiza Gwaji "kupanua" vizuri huduma yake.

Sasa sijui atafanyaje na hajapanua vizuri
 
#February2017

GWAJIBOY: Mimi siwezi kugombea ubunge kwa sababu nitakuwa nimejishusha chini. Ubunge kwangu ni demotion. Mimi ni mkubwa kuliko mbunge, mimi ni mkubwa kuliko Waziri, Mimi ni mkubwa kuliko Rais. Sema Amen.

WAUMINI: Ameeeeen.!

#July2020
GWAJIBOY: Itoshe tu kusema sasa nagombea ubunge jimbo la Kawe. Kuna watu wanasema eti ubunge ni kujishusha chini. Ngoja niwapasue sasa.

WAUMINI: Pasuaaaaa.!

GWAJIBOY: Ubunge sio kujishusha chini ni kupanua huduma, sema kupanua.

WAUMINI: Kupanua.

GWAJIBOY: Kupitia kanisa nilikua nafikia watu wa Dar es Salaam peke yake, lakini kupitia ubunge nitafikia taifa zima sasa. Napanua huduma. Sema kupanua.

WAUMINI: Kupanua.!

Jr
Watu wamemnyima Gwaji kupanua sasa sijui huduma itaingiaje. Hakika kupanua ni muhimu.
 
Hahaha mbona hata wewe unasalimiwa mkuu

Punguza wivu basi ndugu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wivu wake tuuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Msalimie na yeye mkuu
Huyu simsalimii wala nini.. Kuna mambo kibao ananifanyia hadi siyo poa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa naona hataki kuweka picha zake wakati nyie zenu mnaweka
Si ndiyo hapo sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Msikate tamaa labda ataweka
Kama surprise
 
Back
Top Bottom