Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,321
Ila huyu Mtu huyu[emoji114][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui hata kaifukua wapi[emoji1745]
Ila huyu Mtu huyu[emoji114][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui hata kaifukua wapi[emoji1745]
Muone[emoji57][emoji57][emoji57]Unataka niiondoe? Lakini si uliniruhusu?
View attachment 1515210
Salama kabisa..Naam mkuu
Habari yako
Lini hiyo twaenda[emoji847][emoji4]?
Salama kabisa..
Binamu hivi picha yako humu ipo page ipi?Kweli eh...??
Wengine wanasalimiwa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Salamu zako Captain
Wengine wanasalimiwa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mpo macho humu
Nilijua niko peke yangu.tuzidi kuomba mwisho mwema😔😔😔Tunaomboleza [emoji17]
Nilijua niko peke yangu.tuzidi kuomba mwisho mwema[emoji17][emoji17][emoji17]
Mwendo kaumaliza.tujitafakari na kuomba mwisho mwema.Msiba wa taifa huu hauwezi kuwa peke yako mkuu, tuzidi kuombeana
Tuko msibani kuandaa mazingira ya kesho kupokea wagenihatulali
Mwendo kaumaliza.tujitafakari na kuomba mwisho mwema.
Maisha ni nini🤯🤯🤯🤯