cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,943
Jamaniii dea nataka kwa njeeeh, lol afu naomba uninunulie chocolate nimemic
Jamaniii dea nataka kwa njeeeh, lol afu naomba uninunulie chocolate nimemic
Nenda showroom iliyo karibu na wewe ukaangalie kwa nje.Jamaniii dea nataka kwa njeeeh, lol afu naomba uninunulie chocolate nimemic
My fav 😋
Kibajajitz msaidie huyu dogo hapa. Minyoo yake leo inataka kuona BMW 😅Jamaniii dea nataka kwa njeeeh, lol afu naomba uninunulie chocolate nimemic
alpellah ma dea [emoji14][emoji14][emoji14]Nenda showroom iliyo karibu na wewe ukaangalie kwa nje.
Chocolate wataka Snickers, alpellah, diary milk ama caramel [emoji39][emoji39]
Sanaaa. Niletee limoja basi 😋Unayapenda etii Depal
Hujambo mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea jamaniiih, haya makengeza yangu yamekua minyoo, aaaahKibajajitz msaidie huyu dogo hapa. Minyoo yake leo inataka kuona BMW [emoji28]
Marahaba DepalSanaaa. Niletee limoja basi [emoji39]
Sijambo mkuu, shikamoo
Anatupostia Matunda tu hapa..[emoji57]Mpaka leo hajaweka picha hata moja
Ila amekazania wenzie waweke[emoji16]
Kuna Yoghurt ya moto? Niletee ya baridi huku kwa MpalangeMarahaba Depal
Nielekeze ulipo nikuletee
Ya baridi au moto?
Hvi huwa mnafanyagaje hadi mnamiliki gari!??
Kuna opt mbali mbali. Waweza lichukua google na kumiliki ukawa unaliendeshea ndotoni....Hvi huwa mnafanyagaje hadi mnamiliki gari!??
Jibu lako limenifurahisha sana[emoji23]Kuna opt mbali mbali. Waweza lichukua google na kumiliki ukawa unaliendeshea ndotoni....
Ama unaweza dunduliza mishahara yako kama mingapi hivi ukanunua, pia kuna opt ya mikopo. Waweza kopa VICOBA, SACCOS ama kwa Bank (s)
Kila la kheri mkuu, ukishamiliki usisahau kapicha [emoji38]
Sasa kifuatacho nikutakie safe driving 😆Jibu lako limenifurahisha sana[emoji23]
Naona hii njia ya kwanza ya kugoogle ni rahisi zaidi nitaifanyia kazi..
Kwanza unipatie mafunzo ya udereva ili nisisababishe ajali [emoji3]Sasa kifuatacho nikutakie safe driving [emoji38]
Kwa mpalange sipajui mkuuKuna Yoghurt ya moto? Niletee ya baridi huku kwa Mpalange