Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Mkwepuuuu

Tupia basi hata mkono tuone
Mkwepuuuu

Onyesha japo kiatu
We ulivyonifungulisha picha ya mananasi unafikiri vizuriSiyo vizuri hivyo![]()



Hata sipajui, nimeikuta tu kwa simu yangu hata sijui imetoka wapiWapi hapa? Watu mnakula maisha dah! Huku kijijini Misungwi kukavuuu hata raha hakuna![]()

Jamani zile like mnazo pewa na mkwepu Jr ni muda na nyie kuonyesha shukrani zenu hapa sasa.
Hata sijuiSaint Anne hivi Zoë yuko wapi?
Kamarj kuwa haramu siyo jibu la swali nililouliza.Ngoja nikuonyeshe sasa, nilipo andika "Kamari Haramu" ulitakiwa ujue ya kuwa sibet sababu kubet ni kamari na kamari ni haramu. Sasa nionyeshe wewe wapi sikujibu swali ambalo hujauliza ?
Swali lilikuwa maalumu kwangu, na siyo kwa ujumla, ndiyo maana nikazingatia hilo huku nikijua ya kuwa wana bet watu ndiyo maana ukaniuliza hilo.Kamarj kuwa haramu siyo jibu la swali nililouliza.
Mbona uzinzi ni dhambi na watu wanafanya!!!?!
Majibu yako hayakuwa ya swali nililokuulizaSwali lilikuwa maalumu kwangu, na siyo kwa ujumla, ndiyo maana nikazingatia hilo huku nikijua ya kuwa wana bet watu ndiyo maana ukaniuliza hilo.
Poa.Majibu yako hayakuwa ya swali nililokuuliza
Oya unamsifiaje dume mwenzako

Hahahaha, mkuu yy kaamua tumuone mdada acha twende nae sawaOya unamsifiaje dume mwenzako![]()
Nikuulize wewe ustaadhPoa.
Aisee, hivi Hawachi kapotelea wapi ?