T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,932
- 30,086
Akhsante kwa kuona vidole na viatu tu ChakoriiMimi nimeona kidole na viatu tu..![]()
Hujambo mkuu
Akhsante kwa kuona vidole na viatu tu ChakoriiMimi nimeona kidole na viatu tu..![]()
Muda huu nipo hapa mecco DV8Tuone umefikia, wapi
Karibu.Akhsante kwa kuona vidole na viatu tu Chakorii
Hujambo mkuu
Hakuna option ya kutoa like zaidi ya moja kwenye post moja lkn ingekuwepo huyu jamaa mkwepu jr anastahili kupewa like nyingi sana mzee wa likesBado nini?
Mpe tu
Mimi namtafuta sana Sakayo Hwa watu sijui wanajichimbia wapi?Poa.
Aisee, hivi Hawachi kapotelea wapi ?
Umefuta kisahani
Ndiyo mkuuUmefuta kisahani
Msalimie mdada mmoja hivi hapo dv8 mecco amejaxia jazia hivi bila kumsahau da Pendo hapo dukaniMuda huu nipo hapa mecco DV8
AkhsanteKaribu.
Sijambo kabisa mkuu..
Habari ya safari
Jambo la kheri mkuu pole na safari.Akhsante
Habari ya safari ilikuwa njema kabisa namushukuru Mungu nimefika salama
Akhsante sana mkuuJambo la kheri mkuu pole na safari.
Haha...sawa ila niwaambie wanasalimiwa na mteja wao nani?Msalimie mdada mmoja hivi hapo dv8 mecco amejaxia jazia hivi bila kumsahau da Pendo hapo dukani
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Mie sijalilima.Zao gani hili? Ni wazi limelimwa kitaalamu sana na si ajabu walimaji wana mikono laiiini kama ya mtoto mdogo. Kama unabisha weka mkono wako hapa tuone
Avatar hii ni spesho leo tu kwa vile ilikuwa Bashite day. Kesho nitaiondoa.
Hii hapa. Mwite na Makiseo kabisa. Mtakula matunda mpaka mkome wallaqiMie sijalilima.
Hivi ndio umegoma kutuwekea hapa picha yako?







Unahitaji maombi wewe



Hata sijui
Maombi kwa ajili ya kuwalisha matunda? Kha !!!Unahitaji maombi wewe![]()
Sijui nikusaidie kuweka picha
