Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,041
Hongera mam 😜
Hongera mam 😜
Huo mguu Depal umeleta tafrani huku kwa mzee wa SHIMBA YA BUYENZEGuu guu ng'wanawane....
Wakubwa wanafaudu![]()
Hallelujah..Ha ha ha ha laizaaa tena dah
Acha tuseme InshaAllah Depal,
Wanafamilia wote siwezi kuwatupa,ww tena
Niko nakusubiri hapa 😋Aikaaa mankaunajali nakujali ngoja nije na kitimoto rosti tule tushibe
Hizo hapo chini huwa naitaga Sport rims 🤣🤣🤣!!! U look awesomePic from maktaba...View attachment 1507378when I was young
Hahah kumbe unakunywaga safari mrembo? Now i get it 🤣🤣🤣Hivi Serengeti Lite watu wanazipendea nini mie mbona hata sioni utamu wake? Mara mia hata ya Safari Lager kuliko hizo!
Dah! Rims tena 😀Hizo hapo chini huwa naitaga Sport rims 🤣🤣🤣!!! U look awesome
Si mguu wa kuvutia jamani, guu limejazika jazika hivi!Dah! Rims tena 😀
Haya bwana, I appreciate
Priscallia
Mguu😍
Dea hyo pic ako mbna sijaona mmmmmhDah! Rims tena
Haya bwana, I appreciate



Bado wako eti, naomba utume etiMguu![]()
Kawaida banaa 😜Si mguu wa kuvutia jamani, guu limejazika jazika hivi!
Ulikuwa wapi?Dea hyo pic ako mbna sijaona mmmmmh![]()
Ugonjwa wangu huo ujue😝😝😝Kawaida banaa 😜
Mhmhh mguu unao bana hiyo haipingiki,Kawaida banaa![]()
Unataka unicheke?Bado wako eti, naomba utume eti