Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Hivi Serengeti Lite watu wanazipendea nini mie mbona hata sioni utamu wake? Mara mia hata ya Safari Lager kuliko hizo!Bia tamu sana hasa iwe ya baridi.....View attachment 1504045
Hivi Serengeti Lite watu wanazipendea nini mie mbona hata sioni utamu wake? Mara mia hata ya Safari Lager kuliko hizo!Bia tamu sana hasa iwe ya baridi.....View attachment 1504045
Poa elyZoë mambo
Mmmmmmmmh.....Hivi Serengeti Lite watu wanazipendea nini mie mbona hata sioni utamu wake? Mara mia hata ya Safari Lager kuliko hizo!
Mwe iko wapiSaint Anne Zoë mkuye mkuye mama wawili sasa hivi naweka
KhaaNimeweka hamjaja.
Nafuta![]()
Hapa nimekwamaaa

OohMmmmmmmmh.....
Kipendacho roho hunywa serengeti Premium Lite ya baridi
Hujambo Zoë
Vizuri sana kama hujamboOoh
Sijambo
Poa ely
Hivi lile swali langu haukuliona eenh
Vizuri sana kama hujambo




Hello manka

Tatizo nini dadake? Kwani nimetukana au mhusika kakasirika?sio mda wote siriazi dadake mimi.tufurahi maisha yaendelee.samahani kwa kukukwazaSio kila unachokiwaza kinafaa kuropokwa. Ustaarabu mbona ni jambo dogo sana???
Shimboni manka
Hello priscallia,
mamito zoe mara ya mwisho kuweka picha ilikua lini
Jana tu mkuumamito zoe mara ya mwisho kuweka picha ilikua lini