Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila akili zako basi tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila akili zako basi tena
Niko kwa wakala hapa.Hakika umejitetea vizuri, kula chips hapo nitatuma pesa sahivi
Ndiyo.Annie, mwandiko wako huu?
Subiri inakuja ipo njianiNiko kwa wakala hapa.
Tuma hiyo hela nikale chipsi[emoji2960]
NasubiriSubiri inakuja ipo njiani
Ni kweli ni mkubwa huyo anaweza hata kuwa mama yakoUmemuona ehh[emoji41][emoji41]
Kana mwandiko mzuri mpaka raha yaani [emoji16]Annie, mwandiko wako huu?
Mguu[emoji176]Pic from maktaba...View attachment 1507378when I was young
Sahivi ni mzee au? Tuma ya uzeeniPic from maktaba...View attachment 1507378when I was young
Mwambie huyo[emoji1787]Ni kweli ni mkubwa huyo anaweza hata kuwa mama yako
Tatizo humu tunavyokaa tunacheka na ninyi mnatuona watoto wenzenu eti
Acha tu Bro,nmeshindwa kujizuia imebidi nimuulize[emoji16]Kana mwandiko mzuri mpaka raha yaani [emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kumbe unayoPic from maktaba...View attachment 1507378when I was young
Akhsante sanaMwandiko mzuri..
Safi Annie,uzima upo hapo?
Kiunoo💕Pic from maktaba...View attachment 1507378when I was young
Sawa na kwa mwandiko hule jamani mbona umekaa kimdada kabisa kamwandiko kapo so beautiful , huo uzee kaupata lini Saint AnneNi kweli ni mkubwa huyo anaweza hata kuwa mama yako
Tatizo humu tunavyokaa tunacheka na ninyi mnatuona watoto wenzenu eti
Karibu macharali kwanzaSahivi ni mzee au? Tuma ya uzeeni
Teh hivi kumbe tukizeeka na miandiko nayo inazeeka enhSawa na kwa mwandiko hule jamani mbona umekaa kimdada kabisa kamwandiko kapo so beautiful , huo uzee kaupata lini Saint Anne
Guu la shampeniPic from maktaba...View attachment 1507378when I was young
Karibu macharali kwanzaSahivi ni mzee au? Tuma ya uzeeni