Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,562
- 21,516
Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)We dada priscallia nimekupenda ghafla
Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)We dada priscallia nimekupenda ghafla
Hatari chief duuAna chai sana, na story zake za mwalimu wa cguo
😅 mbona unga wenyewe robo tu si unaonaMmh hiyo diet ya wapenda kula hiyo
Si namfundisha,ndan ya miezi 3 ashakuwa Chef master...Mhmmmm...wewe inaonekana unajua kupika aiseh..🤣🤣sasa ndo ukutane na mwanamke asiyejua kupika ndo kabsa utakuwa unalala kwa mama ntilie😅😅😅
Basi wewe ni mwanaume mzuri...hongeraSi namfundisha,ndan ya miezi 3 ashakuwa Chef master...
Ukose tu hela ya ingredients maana wapishi wazoefu bila mazagaza gari haliwaki ( expensive package).
We imagine tu.Imagination mbaya sanaI've already imagined...aaah!
Mimi nawe ndugu ujue!! Fanya kampango ka kilo basi.
Hahaha.....kilo ya samaki au kilo ya nini ndugu yangu kipenzi mzuri?Mimi nawe ndugu ujue!! Fanya kampango ka kilo basi.
Ya samaki.Hahaha.....kilo ya samaki au kilo ya nini ndugu yangu kipenzi mzuri?
I've missed you! Kazi isiwe sababu ya kunizira..We imagine tu.
Sato.Ooh!!
Sato?
Sangara?