Nakuja hapo mkuu hebu fanya tuonane mzee dk 5 nitakuwa nishafikaView attachment 1496815
Tips chilling
Nakuja hapo mkuu hebu fanya tuonane mzee dk 5 nitakuwa nishafika
Owk owk namalizia bia hapa contena naona wanazinguka kunipa change yangu hawa waudumuKaribu sana..
Nipo meza karibu na counter hapa nimevalia t shirt ya blue..
Uwiiiiih muandiko km wangu lol,Prayer needs to have certain value outside of itView attachment 1496870
Sent using Jamii Forums mobile app


Mkuu mbona unapenda hivi vi-ukunga, samahani nimeuliza tu usije sema naingilia uhuru wako.Uwiiiiih muandiko km wangu lol,![]()
Mkuu mbona unapenda hivi vi-ukunga, samahani nimeuliza tu usije sema naingilia uhuru wako.




Mbona unacheka Zoë
Nishafika mzee nipo maeneo ya counter hapa.nasikilizia jamaica flavor aka danc hall huku mwisho karibu na speaker nimevaa shart la draft draft mikono nimekunjaOwk owk namalizia bia hapa contena naona wanazinguka kunipa change yangu hawa waudumu
Basi tu nimefurahiMbona unacheka Zoë
Haya mumy tusubiri jibu,!!!Basi tu nimefurahi
Mie nasubiri akujibu
Mkuu nipo na mmoja wa mtoto wa rais mstaf.hapo hapo simama nitakutambuaKaribu sana..
Nipo meza karibu na counter hapa nimevalia t shirt ya blue..
Mkuu nipo na mmoja wa mtoto wa rais mstaf.hapo hapo simama nitakutambua
Mda tuu mzeeUmefika!
Mda tuu mzee
Hebu check bobo pm nakutumia noUmefika!
Hebu check bobo pm nakutumia no