Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Umeninyanyasa sana lol[emoji23][emoji23]We ndo unaninyanyasa nimeweka picha zangu nikinya,nikila lakini we bado
Niwekee yako basi jamani
Umeninyanyasa sana lol[emoji23][emoji23]We ndo unaninyanyasa nimeweka picha zangu nikinya,nikila lakini we bado
Yako iko wapi?Umenijibu kisiasa hapa [emoji3][emoji3][emoji3]
Bora umekuja boss.Watu wa humu hata wakiweka picha za vivuli wanafuta
Sijui kwanini[emoji36][emoji34]
Leo sijapiga gauni.Nataka kuona gauni la mpiga picha.
Zangu zipo nyingi sana humu halafu huwa sizifutiYako iko wapi?
Nionyeshe yakwako halafu nitakwambia zangu zipo page gani
Hahahahaha!!!!Bora umekuja boss.
Tuwekee picha tusafishe macho
Acha siasaZangu zipo nyingi sana humu halafu huwa sizifuti
NasubiriHahahahaha!!!!
[emoji40]Nasubiri
Umejificha mno
Weka basi yako na wewe hata ya kujificha maana hata kivuliUmejificha mno
Heheheh!
Zile nywele ulizinyoa?😥
Hayo ndo mambo Sasa.Blacka the ting the sweeter the ting.Naweza kupumzika Sasa nimefurahi.
Priscallia geuka kidogo jamani unaoneka una tako lainiiiiii.
unaonekana ni wife material kabisa sio (material wife)
We dada priscallia nimekupenda ghafla
Ile nyumba kwa mbali kama ya bibi yangu uyole
Hhah endelea kusubili mpendwa 👌Priscallia geuka kidogo jamani unaoneka una tako lainiiiiii.