ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,471
- 126,717
Hivi mnawezaje kutembea na viatu vya dizain hii!
Hivi mnawezaje kutembea na viatu vya dizain hii!
I just died in your arms tonight - jay zView attachment 1482609
Acha bangi basi mkuu..mbn unatoka nje ya mada☠️☠️Chakorii unaonekana uko na maji mengi [emoji1]
Hivi mnawezaje kutembea na viatu vya dizain hii!
Hakuna kinachoshindikana mkuu..ni mazoezi tu baadae inakuwa[emoji91][emoji91][emoji91]
Mwanzo na mimi vilikuwa vinanisumbua lakini nikakazana sasa ni 🔥🔥Mimi vimenishinda kabisa ingawa natamani kweli
Mimi vimenishinda kabisa ingawa natamani kweli
Halafu uwe na tako, ukitembea lazima wakware waumie shingo.Hakuna kinachoshindikana mkuu..ni mazoezi tu baadae inakuwa[emoji91][emoji91][emoji91]
Imagination mbaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]I've already imagined...aaah!
😅😅😅😅😅😅wooooooooooooozaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhh🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Halafu uwe na tako, ukitembea lazima wakware waumie shingo.
Imagination mbaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]I've already imagined...aaah!
Una vidole vizuri mno...
Nimekosa hiyo pichaAsante Mkuu[emoji1545]
Usisahau dagaa wa mafuta kunitumia punde ukiendaMkuu sasa haya mambo gani yakuamshiana minyoo jamani[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Nitafunga safari kwenda rock city kula samaki halafu nirudi aise..
Nimekosa hiyo picha