Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,931
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi najua basi? Ni vitunguu na nyanya. Hapo nilikuwa nataka nitie vyote vilivyobaki humo (dagaa, bamia na mchicha) vitajuana vyenyewe ila mboga ilikuwa tamu kwa kiwango changu. We acha tu yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Haki nimecheka, eti vitajuana!